# Maelezo ya Jumla Musa anaendelea kuongea na watu wa Israeli. # Kwa siku saba "Kwa siku 7" # Mkate usio na hamira wapaswa kuliwa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # hakuna mkate ulio na hamira wapaswa kuliwa miongoni mwenu Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # Hakuna hamira yapaswa kuonekana Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # kwenye mipaka yenu "katika mipaka yenu yeyote ya nchi"