sw_tn/exo/12/47.md

12 lines
306 B
Markdown

# ndugu zake wote wa kiume wapaswa kutahiriwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# watu walio zaliwa kwenye nchi
Hapa neno "nchi" ya husu Kanani. Msemo "walio zaliwa katika nchi' ina maana ya Misraeli halisi.
# hakuna mtu asiye tahiriwa anaruhusiwa kula
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.