# ndugu zake wote wa kiume wapaswa kutahiriwa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # watu walio zaliwa kwenye nchi Hapa neno "nchi" ya husu Kanani. Msemo "walio zaliwa katika nchi' ina maana ya Misraeli halisi. # hakuna mtu asiye tahiriwa anaruhusiwa kula Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.