sw_tn/exo/12/47.md

306 B

ndugu zake wote wa kiume wapaswa kutahiriwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

watu walio zaliwa kwenye nchi

Hapa neno "nchi" ya husu Kanani. Msemo "walio zaliwa katika nchi' ina maana ya Misraeli halisi.

hakuna mtu asiye tahiriwa anaruhusiwa kula

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.