sw_tn/exo/12/19.md

12 lines
407 B
Markdown

# nyumbani mwenu kusipatikane na hamira
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# lazima akatwe kutoka jamii ya Israeli
Mafumbo "akatwe" ina maana kama tatu zinazo wezekana. Inaweza elezewa katika tensi tendaji: 1)"watu wa Israeli lazima wamuondoe" au 2) "sitamuhesabu kuwa mmoja wa watu wa Israeli" au 3) "watu wa Israeli lazima wamuue"
# mkate usio na hamira
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji