sw_tn/exo/12/19.md

407 B

nyumbani mwenu kusipatikane na hamira

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

lazima akatwe kutoka jamii ya Israeli

Mafumbo "akatwe" ina maana kama tatu zinazo wezekana. Inaweza elezewa katika tensi tendaji: 1)"watu wa Israeli lazima wamuondoe" au 2) "sitamuhesabu kuwa mmoja wa watu wa Israeli" au 3) "watu wa Israeli lazima wamuue"

mkate usio na hamira

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji