# nyumbani mwenu kusipatikane na hamira Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # lazima akatwe kutoka jamii ya Israeli Mafumbo "akatwe" ina maana kama tatu zinazo wezekana. Inaweza elezewa katika tensi tendaji: 1)"watu wa Israeli lazima wamuondoe" au 2) "sitamuhesabu kuwa mmoja wa watu wa Israeli" au 3) "watu wa Israeli lazima wamuue" # mkate usio na hamira Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji