sw_tn/exo/12/15.md

515 B

huyo mtu lazima akatwe kutoka Israeli

Mafumbo "akatwe" ina maana kama tatu zinazo wezekana. Inaweza elezewa katika tensi tendaji: 1)"watu wa Israeli lazima wamuondoe" au 2) "sitamuhesabu kuwa mmoja wa watu wa Israeli" au 3) "watu wa Israeli lazima wamuue"

kusanyiko lililo tengwa kwa ajili yangu

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Hakuna kazi itakayo fanywa hizi siku

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Hiyo ndio kazi pekee itakayo fanywa na wewe

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.