sw_tn/exo/12/15.md

16 lines
515 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# huyo mtu lazima akatwe kutoka Israeli
Mafumbo "akatwe" ina maana kama tatu zinazo wezekana. Inaweza elezewa katika tensi tendaji: 1)"watu wa Israeli lazima wamuondoe" au 2) "sitamuhesabu kuwa mmoja wa watu wa Israeli" au 3) "watu wa Israeli lazima wamuue"
# kusanyiko lililo tengwa kwa ajili yangu
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# Hakuna kazi itakayo fanywa hizi siku
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# Hiyo ndio kazi pekee itakayo fanywa na wewe
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.