# huyo mtu lazima akatwe kutoka Israeli Mafumbo "akatwe" ina maana kama tatu zinazo wezekana. Inaweza elezewa katika tensi tendaji: 1)"watu wa Israeli lazima wamuondoe" au 2) "sitamuhesabu kuwa mmoja wa watu wa Israeli" au 3) "watu wa Israeli lazima wamuue" # kusanyiko lililo tengwa kwa ajili yangu Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # Hakuna kazi itakayo fanywa hizi siku Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # Hiyo ndio kazi pekee itakayo fanywa na wewe Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.