sw_tn/exo/12/09.md

20 lines
333 B
Markdown

# Usiile mbichi
"Usile mwana kondo au mbuzi bila kupika"
# Usiache ata kidogo kubaki mpaka asubui
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# mkanda
Hii ya husu mshipi wa ngozi au kitambaa cha kufunga kiunoni.
# ule kwa haraka
"kula kwa haraka"
# Ni Pasaka ya Yahweh
Hapa neno "ni" la husu kula mnyama siku ya kumi ya mwezi.