sw_tn/exo/12/09.md

333 B

Usiile mbichi

"Usile mwana kondo au mbuzi bila kupika"

Usiache ata kidogo kubaki mpaka asubui

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

mkanda

Hii ya husu mshipi wa ngozi au kitambaa cha kufunga kiunoni.

ule kwa haraka

"kula kwa haraka"

Ni Pasaka ya Yahweh

Hapa neno "ni" la husu kula mnyama siku ya kumi ya mwezi.