# Usiile mbichi "Usile mwana kondo au mbuzi bila kupika" # Usiache ata kidogo kubaki mpaka asubui Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # mkanda Hii ya husu mshipi wa ngozi au kitambaa cha kufunga kiunoni. # ule kwa haraka "kula kwa haraka" # Ni Pasaka ya Yahweh Hapa neno "ni" la husu kula mnyama siku ya kumi ya mwezi.