sw_tn/exo/10/01.md

8 lines
201 B
Markdown

# nimeufanya moyo wake mgumu na moyo wa watumishi wake
Yahweh anazungumza kuhusu kumfanya Farao na watumishi wake kuwa na kiburi kama alikuwa anafanya mioyo yao migumu.
# tofauti
"aina mbali mbali"