sw_tn/exo/10/01.md

201 B

nimeufanya moyo wake mgumu na moyo wa watumishi wake

Yahweh anazungumza kuhusu kumfanya Farao na watumishi wake kuwa na kiburi kama alikuwa anafanya mioyo yao migumu.

tofauti

"aina mbali mbali"