# nimeufanya moyo wake mgumu na moyo wa watumishi wake Yahweh anazungumza kuhusu kumfanya Farao na watumishi wake kuwa na kiburi kama alikuwa anafanya mioyo yao migumu. # tofauti "aina mbali mbali"