sw_tn/exo/09/01.md

24 lines
628 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuzungumza na Musa kuhusu kushughulika na Farao na kuwaleta watu Waebrania njee ya Misri.
# ukikataa kuwaruhusu waende, kama utaendelea kuwa bakiza nyuma
Hii mistari miwili ina maana moja. Watamsisitiza Farao nini kitakacho watokea Farao akifanya hivi.
# basi mkono wa Yahweh utakuwa kinyume dhidi
Neno "mkono" hapa wa wakilisha nguvu ya Yahweh ya kuwa dhuru wanyama kwa magonjwa.
# ya mifugo yako
Neno "yako" hapa la husu watu wote wa Misri waliyo miliki mifugo.
# mifugo ya Israeli
Hapa "Israeli" ya husu watu wa Israeli.
# mifugo Misri
Neno "Misri" hapa la husu watu wa Misri