# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kuzungumza na Musa kuhusu kushughulika na Farao na kuwaleta watu Waebrania njee ya Misri. # ukikataa kuwaruhusu waende, kama utaendelea kuwa bakiza nyuma Hii mistari miwili ina maana moja. Watamsisitiza Farao nini kitakacho watokea Farao akifanya hivi. # basi mkono wa Yahweh utakuwa kinyume dhidi Neno "mkono" hapa wa wakilisha nguvu ya Yahweh ya kuwa dhuru wanyama kwa magonjwa. # ya mifugo yako Neno "yako" hapa la husu watu wote wa Misri waliyo miliki mifugo. # mifugo ya Israeli Hapa "Israeli" ya husu watu wa Israeli. # mifugo Misri Neno "Misri" hapa la husu watu wa Misri