sw_tn/exo/09/01.md

628 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuzungumza na Musa kuhusu kushughulika na Farao na kuwaleta watu Waebrania njee ya Misri.

ukikataa kuwaruhusu waende, kama utaendelea kuwa bakiza nyuma

Hii mistari miwili ina maana moja. Watamsisitiza Farao nini kitakacho watokea Farao akifanya hivi.

basi mkono wa Yahweh utakuwa kinyume dhidi

Neno "mkono" hapa wa wakilisha nguvu ya Yahweh ya kuwa dhuru wanyama kwa magonjwa.

ya mifugo yako

Neno "yako" hapa la husu watu wote wa Misri waliyo miliki mifugo.

mifugo ya Israeli

Hapa "Israeli" ya husu watu wa Israeli.

mifugo Misri

Neno "Misri" hapa la husu watu wa Misri