sw_tn/exo/07/03.md

355 B

moyo wa Farao mgumu

Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungumziwa kama moyo mgumu.

ishara nyingi ... maajabu mengi

Maneno "ishara" na "maajabu" yana maana moja. Mungu anatumia kukazia ukuu wa atakayo ya fanya Misri.

nitaueka mkono wangu juu ya ... nyoosha mkono wangu kwa

Maneno "mkono wangu" ya wakilisha nguvu kubwa ya Mungu.