# moyo wa Farao mgumu Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungumziwa kama moyo mgumu. # ishara nyingi ... maajabu mengi Maneno "ishara" na "maajabu" yana maana moja. Mungu anatumia kukazia ukuu wa atakayo ya fanya Misri. # nitaueka mkono wangu juu ya ... nyoosha mkono wangu kwa Maneno "mkono wangu" ya wakilisha nguvu kubwa ya Mungu.