sw_tn/exo/07/03.md

12 lines
355 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# moyo wa Farao mgumu
Hapa "moyo" wa husu Farao. Tabia yake ya kiburi inazungumziwa kama moyo mgumu.
# ishara nyingi ... maajabu mengi
Maneno "ishara" na "maajabu" yana maana moja. Mungu anatumia kukazia ukuu wa atakayo ya fanya Misri.
# nitaueka mkono wangu juu ya ... nyoosha mkono wangu kwa
Maneno "mkono wangu" ya wakilisha nguvu kubwa ya Mungu.