sw_tn/exo/05/22.md

12 lines
356 B
Markdown

# Bwana kwanini umesababisha matatizo kwa hawa watu?
Hili swali la onyesha jinisi alivyo kata tamaa kuwa Wamisri wana wa tendea vibaya Waisraeli kwa ukali zaidi sasa.
# kwanini ulinituma mimi kwanza?
Hili swali la onyesha jinsi Musa alivyo kata tamaa kuwa Mungu alimtuma Misri.
# ongea nae kwa jina lake
Neno "jina" hapa la wakilisha ujumbe wa Mungu.