# Bwana kwanini umesababisha matatizo kwa hawa watu? Hili swali la onyesha jinisi alivyo kata tamaa kuwa Wamisri wana wa tendea vibaya Waisraeli kwa ukali zaidi sasa. # kwanini ulinituma mimi kwanza? Hili swali la onyesha jinsi Musa alivyo kata tamaa kuwa Mungu alimtuma Misri. # ongea nae kwa jina lake Neno "jina" hapa la wakilisha ujumbe wa Mungu.