sw_tn/exo/05/22.md

356 B

Bwana kwanini umesababisha matatizo kwa hawa watu?

Hili swali la onyesha jinisi alivyo kata tamaa kuwa Wamisri wana wa tendea vibaya Waisraeli kwa ukali zaidi sasa.

kwanini ulinituma mimi kwanza?

Hili swali la onyesha jinsi Musa alivyo kata tamaa kuwa Mungu alimtuma Misri.

ongea nae kwa jina lake

Neno "jina" hapa la wakilisha ujumbe wa Mungu.