sw_tn/exo/05/10.md

438 B

wasimamizi

"waendesha watumwa" Hawa walikuwa Wamisri ambao kazi yao ilikuwa kuwalazimisha Waisraeli kufanya kazi ngumu.

sitakupatia wewe mrija wowote tena .. pata mriji popote utakapo upata

Neno "wewe" katika hii mistari ni wingi na ya husu watu wa Israeli.

nyinyi wenyewe lazima muende

Hapa "wenyewe" la tilia mkazo kuwa Wamisri hawata wasaidia.

mzigo wa kazi zenu hazitapunguzwa

Hii yaweza andikwa katika mfumo endelevu.