sw_tn/exo/05/10.md

16 lines
438 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wasimamizi
"waendesha watumwa" Hawa walikuwa Wamisri ambao kazi yao ilikuwa kuwalazimisha Waisraeli kufanya kazi ngumu.
# sitakupatia wewe mrija wowote tena .. pata mriji popote utakapo upata
Neno "wewe" katika hii mistari ni wingi na ya husu watu wa Israeli.
# nyinyi wenyewe lazima muende
Hapa "wenyewe" la tilia mkazo kuwa Wamisri hawata wasaidia.
# mzigo wa kazi zenu hazitapunguzwa
Hii yaweza andikwa katika mfumo endelevu.