# wasimamizi "waendesha watumwa" Hawa walikuwa Wamisri ambao kazi yao ilikuwa kuwalazimisha Waisraeli kufanya kazi ngumu. # sitakupatia wewe mrija wowote tena .. pata mriji popote utakapo upata Neno "wewe" katika hii mistari ni wingi na ya husu watu wa Israeli. # nyinyi wenyewe lazima muende Hapa "wenyewe" la tilia mkazo kuwa Wamisri hawata wasaidia. # mzigo wa kazi zenu hazitapunguzwa Hii yaweza andikwa katika mfumo endelevu.