sw_tn/exo/04/04.md

300 B

shika kwenye mkia

"nyanyua kwenye mkia" au "chukuwa kwenye mkia"

likawa gongo

"geuka kuwa gongo" au "badilika kuwa gongo"

Mungu wa mababu zao, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo

Ibrahimu, Isaka na Yakobo walikuwa ni mababu wa tatu wa Musa. Wote walimuabudu Mungu mmoja.