# shika kwenye mkia "nyanyua kwenye mkia" au "chukuwa kwenye mkia" # likawa gongo "geuka kuwa gongo" au "badilika kuwa gongo" # Mungu wa mababu zao, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo Ibrahimu, Isaka na Yakobo walikuwa ni mababu wa tatu wa Musa. Wote walimuabudu Mungu mmoja.