sw_tn/exo/03/16.md

32 lines
762 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mungu anaendelea kuzungumza na Musa.
# Mungu wa mababu zako, Mungu wa Ibrahimu, wa Isaka, na wa Yakobo
Ibrahimu, Isaka na Yakobo walikuwa ni mababu wa tatu wa Musa. Wote walimuabudu Mungu mmoja.
# Hakika nimekutathimini
Neno "wewe" la husu watu wa Israeli.
# nchi inayo tiririka maziwa na asali
Mungu aliongelea nchi kuwa nzuri kwa wanyama na mimea kana kwamba maziwa na asali kutoka kwa hao wanyama yalikuwa ya tiririka kwenye nchi.
# tiririka
"iliyo jawa" au kwa utele wa"
# maziwa
Kwa maana maziwa yanatoka kwa ng'ombe na mbuzi, hii ya wakilisha chakula kinacho tokana na mifugo.
# asali
Kwa maana asali yanatoka kwenye mau, hii ya wakilisha chakula kinacho tokana na mazao.
# Watakusikiliza wewe
Neno "wewe" la muhusu Musa.