# Maelezo ya Jumla Mungu anaendelea kuzungumza na Musa. # Mungu wa mababu zako, Mungu wa Ibrahimu, wa Isaka, na wa Yakobo Ibrahimu, Isaka na Yakobo walikuwa ni mababu wa tatu wa Musa. Wote walimuabudu Mungu mmoja. # Hakika nimekutathimini Neno "wewe" la husu watu wa Israeli. # nchi inayo tiririka maziwa na asali Mungu aliongelea nchi kuwa nzuri kwa wanyama na mimea kana kwamba maziwa na asali kutoka kwa hao wanyama yalikuwa ya tiririka kwenye nchi. # tiririka "iliyo jawa" au kwa utele wa" # maziwa Kwa maana maziwa yanatoka kwa ng'ombe na mbuzi, hii ya wakilisha chakula kinacho tokana na mifugo. # asali Kwa maana asali yanatoka kwenye mau, hii ya wakilisha chakula kinacho tokana na mazao. # Watakusikiliza wewe Neno "wewe" la muhusu Musa.