sw_tn/exo/03/16.md

762 B

Maelezo ya Jumla

Mungu anaendelea kuzungumza na Musa.

Mungu wa mababu zako, Mungu wa Ibrahimu, wa Isaka, na wa Yakobo

Ibrahimu, Isaka na Yakobo walikuwa ni mababu wa tatu wa Musa. Wote walimuabudu Mungu mmoja.

Hakika nimekutathimini

Neno "wewe" la husu watu wa Israeli.

nchi inayo tiririka maziwa na asali

Mungu aliongelea nchi kuwa nzuri kwa wanyama na mimea kana kwamba maziwa na asali kutoka kwa hao wanyama yalikuwa ya tiririka kwenye nchi.

tiririka

"iliyo jawa" au kwa utele wa"

maziwa

Kwa maana maziwa yanatoka kwa ng'ombe na mbuzi, hii ya wakilisha chakula kinacho tokana na mifugo.

asali

Kwa maana asali yanatoka kwenye mau, hii ya wakilisha chakula kinacho tokana na mazao.

Watakusikiliza wewe

Neno "wewe" la muhusu Musa.