sw_tn/exo/02/15.md

533 B

Sasa Farao alipo sikia kuhusu hili

Neno "sasa" linatumika hapa kuweka alama ya pumziko katika tukio. Hapa mwandishi anaanza kueleza sehemu mpya ya tukio.

Sasa kuhani wa Midiani alikuwa na mabinti saba

Neno "sasa" linatumika hapa kuweka alama ya pumziko katika tukio. Hapa mwandishi anaeleza watu wapya katika simulizi.

chota maji

Hii ina maana walichota maji kwenye kisima.

birika

chombo kirefu cha wazi, chemba, kinacho wanacho tumia wanyama kulia au kunywea.

kuwafukuza

"kuwakimbiza"

akawasaidia

"akawaokoa"