sw_tn/exo/02/15.md

24 lines
533 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sasa Farao alipo sikia kuhusu hili
Neno "sasa" linatumika hapa kuweka alama ya pumziko katika tukio. Hapa mwandishi anaanza kueleza sehemu mpya ya tukio.
# Sasa kuhani wa Midiani alikuwa na mabinti saba
Neno "sasa" linatumika hapa kuweka alama ya pumziko katika tukio. Hapa mwandishi anaeleza watu wapya katika simulizi.
# chota maji
Hii ina maana walichota maji kwenye kisima.
# birika
chombo kirefu cha wazi, chemba, kinacho wanacho tumia wanyama kulia au kunywea.
# kuwafukuza
"kuwakimbiza"
# akawasaidia
"akawaokoa"