# Sasa Farao alipo sikia kuhusu hili Neno "sasa" linatumika hapa kuweka alama ya pumziko katika tukio. Hapa mwandishi anaanza kueleza sehemu mpya ya tukio. # Sasa kuhani wa Midiani alikuwa na mabinti saba Neno "sasa" linatumika hapa kuweka alama ya pumziko katika tukio. Hapa mwandishi anaeleza watu wapya katika simulizi. # chota maji Hii ina maana walichota maji kwenye kisima. # birika chombo kirefu cha wazi, chemba, kinacho wanacho tumia wanyama kulia au kunywea. # kuwafukuza "kuwakimbiza" # akawasaidia "akawaokoa"