sw_tn/exo/02/13.md

20 lines
401 B
Markdown

# Akatoka
"Musa akatoka"
# Tazama
Neno "tazama" hapa la onyesha kwamba Musa alishangazwa kwa alicho kiona.
# yeye aliye kuwa na makosa
Hii ilikuwa ni namna ya kusema "yeye alianza pambano"
# nani aliye kufanya kiongozi na muamuzi juu yetu?
Mtu aliye tumia hili swali kumkemea Musa kwa kuingilia pambano.
# Unataka kuniua kama ulivyo muua yule Mmisri?
Mwanaume huyu alitumia swali kwa kejeli.