# Akatoka "Musa akatoka" # Tazama Neno "tazama" hapa la onyesha kwamba Musa alishangazwa kwa alicho kiona. # yeye aliye kuwa na makosa Hii ilikuwa ni namna ya kusema "yeye alianza pambano" # nani aliye kufanya kiongozi na muamuzi juu yetu? Mtu aliye tumia hili swali kumkemea Musa kwa kuingilia pambano. # Unataka kuniua kama ulivyo muua yule Mmisri? Mwanaume huyu alitumia swali kwa kejeli.