sw_tn/exo/02/13.md

401 B

Akatoka

"Musa akatoka"

Tazama

Neno "tazama" hapa la onyesha kwamba Musa alishangazwa kwa alicho kiona.

yeye aliye kuwa na makosa

Hii ilikuwa ni namna ya kusema "yeye alianza pambano"

nani aliye kufanya kiongozi na muamuzi juu yetu?

Mtu aliye tumia hili swali kumkemea Musa kwa kuingilia pambano.

Unataka kuniua kama ulivyo muua yule Mmisri?

Mwanaume huyu alitumia swali kwa kejeli.