sw_tn/exo/02/09.md

16 lines
284 B
Markdown

# akamleta
"mwanamke wa Kiebrania akamleta"
# akawa mwana wake
"akawa mwana wa kupanga wa binti wa Farao"
# Kwasababu nilimtoa kwenye maji
Watafsiri wanaweza kuongeza alama inayo sema "Jina Musa linaeleweka kama jina la Kiebrania linalo maanisha "kuvuta."
# nilimtoa
"kumvuta"