sw_tn/exo/02/09.md

284 B

akamleta

"mwanamke wa Kiebrania akamleta"

akawa mwana wake

"akawa mwana wa kupanga wa binti wa Farao"

Kwasababu nilimtoa kwenye maji

Watafsiri wanaweza kuongeza alama inayo sema "Jina Musa linaeleweka kama jina la Kiebrania linalo maanisha "kuvuta."

nilimtoa

"kumvuta"