# akamleta "mwanamke wa Kiebrania akamleta" # akawa mwana wake "akawa mwana wa kupanga wa binti wa Farao" # Kwasababu nilimtoa kwenye maji Watafsiri wanaweza kuongeza alama inayo sema "Jina Musa linaeleweka kama jina la Kiebrania linalo maanisha "kuvuta." # nilimtoa "kumvuta"