sw_tn/exo/01/13.md

484 B

kufanya ... kazi kwa juhudi

"kufanya ... fanya kazi kwa nguvu" au "kwa vikali fanya ... kazi"

walifanya maisha yao machungu

Maisha magumu ya Waisraeli yanazungumzwa kama vile yalikuwa chakula kichungu ambacho kili kuwa kigumu kula.

chokaa

Hii ilikuwa gundi ya maji au matope kati ya matofali au mawe yaliyo yashika pamoja yalipo kauka.

Kazi zao zote zilikuwa ngumu

"Wamisri waliwafanya wafanye kazi kwa nguvu sana" au "Wamisri waliwalimizimisha kufanya kazi kwa ngumu"