# kufanya ... kazi kwa juhudi "kufanya ... fanya kazi kwa nguvu" au "kwa vikali fanya ... kazi" # walifanya maisha yao machungu Maisha magumu ya Waisraeli yanazungumzwa kama vile yalikuwa chakula kichungu ambacho kili kuwa kigumu kula. # chokaa Hii ilikuwa gundi ya maji au matope kati ya matofali au mawe yaliyo yashika pamoja yalipo kauka. # Kazi zao zote zilikuwa ngumu "Wamisri waliwafanya wafanye kazi kwa nguvu sana" au "Wamisri waliwalimizimisha kufanya kazi kwa ngumu"