sw_tn/exo/01/13.md

16 lines
484 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kufanya ... kazi kwa juhudi
"kufanya ... fanya kazi kwa nguvu" au "kwa vikali fanya ... kazi"
# walifanya maisha yao machungu
Maisha magumu ya Waisraeli yanazungumzwa kama vile yalikuwa chakula kichungu ambacho kili kuwa kigumu kula.
# chokaa
Hii ilikuwa gundi ya maji au matope kati ya matofali au mawe yaliyo yashika pamoja yalipo kauka.
# Kazi zao zote zilikuwa ngumu
"Wamisri waliwafanya wafanye kazi kwa nguvu sana" au "Wamisri waliwalimizimisha kufanya kazi kwa ngumu"