sw_tn/est/09/23.md

28 lines
540 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Aya hiiinafupisha sehemu kubwa ya simulizi ya Esta ii kufafanua sababu ya sherehe ya Purimu.
# Hamani
(Tazama: tafsiri majina)
# Hammedatha
(Tazama: tafsiri ya majina)
# Mwagagi
Hawa ni watu wa kundi la Hamani.
# alipiga Puri (alipiga kura)
"alipiga kura kubashiri ili kupata siku ya bahati katika mwaka ambayo atakayotekeleza mpango wake"
# Puri
"Purimu au kura"
# Lakini taarifa ilipofika mbele ya mfalme
Biblia ya Kiebrania inaweza pia kutasiriwa kwa kumaanisha, "Lakini Esta alipokuja mbele ya mfalme."