# Maelezo ya Jumla: Aya hiiinafupisha sehemu kubwa ya simulizi ya Esta ii kufafanua sababu ya sherehe ya Purimu. # Hamani (Tazama: tafsiri majina) # Hammedatha (Tazama: tafsiri ya majina) # Mwagagi Hawa ni watu wa kundi la Hamani. # alipiga Puri (alipiga kura) "alipiga kura kubashiri ili kupata siku ya bahati katika mwaka ambayo atakayotekeleza mpango wake" # Puri "Purimu au kura" # Lakini taarifa ilipofika mbele ya mfalme Biblia ya Kiebrania inaweza pia kutasiriwa kwa kumaanisha, "Lakini Esta alipokuja mbele ya mfalme."