sw_tn/est/06/10.md

562 B

Modekai

Modekai alikuwa mwanamme myahudi akiishi katika nchi ya Waajemi. Alikuwa mlezi wa binamu yake Esta, ambaye baadaye alikuwa mke wa mfalme wa Uajemi, Ahausiero.

Muyahudi, Wayahudi

Wayahudi ni uzao wa mjukuu wa Abrahamu, Yakobo. Neno Yahudi linatokana na neno Yuda.

lango, komeo

"lango" ni kizuizi kilichowekwa mahali pa kuingilia katika fensi au ukuta unaozunguka nyumba.Komeo inamaanisha ubao au chuma ambacho kinaweza kusogezwa katika sehemu ili kufunga lango.

tangaza, mbiu

ni kutangaza au kutangaza kitu kwenye hadhara na kwa ujasiri.