sw_tn/eph/06/04.md

8 lines
307 B
Markdown

# Na ninyi akina baba msiwakwaze watoto na kuwasababishia hasira
"Ninyi wababa msifanye mambo ambayo yatawafanya watoto wenu wakasirike" au "Ninyi akina baba msiwasababishie wattoto wenu kuwa na hasira"
# muwalee katika maonyo na maagizo ya Bwana
"wasaidieni kukua katika mafunzo na mafundisho ya Bwana"