# Na ninyi akina baba msiwakwaze watoto na kuwasababishia hasira "Ninyi wababa msifanye mambo ambayo yatawafanya watoto wenu wakasirike" au "Ninyi akina baba msiwasababishie wattoto wenu kuwa na hasira" # muwalee katika maonyo na maagizo ya Bwana "wasaidieni kukua katika mafunzo na mafundisho ya Bwana"